VIDEO : RAIS MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemuapisha mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 6, 2017 saa 3:30 asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.

TAZAMA VIDEO KUAPISHWA KWA ANNA MGWIRA

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.