MESSI AMNUNULIA MAMA YAKE CHUPA MBILI ZA MVINYO KWA MILIONI 2.6


Lionel Messi ameonyesha fedha si chochote kwa mzazi, pale alipo mnunulia mama yake mzazi chupa mbili za mvinyo ambapo kila moja ikiwa na thamani ya pauni 430 (zaidi ya Sh milioni 1.3).

Maana yake kwa chupa mbili ni Sh milioni 2.6 ikiwa ni kukamilisha sherehe ya miaka 57 ya mama yake mzazi airway Celia.

Mvinyo huo ghali aina ya Vega-Sicilia's Unico, ulionekana kwenye picha za mtandao wa Instagram wakati Messi akisherekea pamoja na mama yake.

Baadaye alitupia picha wakati Celia akiwa anasherekea na wajukuu zake.

Messi ni raia wa Argentina ambaye alihamia Hispania akiongozana na baba yake, wakati huo Messi akiwa na umri wa miaka 13.

Messi alitua Argentina akiwa amekwenda kutibiwa ugonjwa wa kukua huku akitakiwa kujiunga na Barcelona ambayo aliiomba imsadie gharama za matibabu.

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.