VIDEO: Fahamu Mti Unao Wasaidia Watu Kupata Wapenzi Saturday, November 14, 2020 Mwaloni wa Bwana Harusi (Bridegroom's Oak Huko Ujerumani kuna mti mkubwa aina ya Mwaloni (Kwa Kiingereza huitwa Oak Tree), Kwenye mti hu...
VIDEO: Tundu Lissu Afafanua Kuhusu Kuhotubia Bunge La Jumuiya Ya Ulaya Saturday, November 14, 2020 Tazama video Tundu Lissu akielezea kuhusu kuhotubia bunge la Jumuiya ya umoja wa Ulaya na sababu za kukimbilia Ubelgiji.
Matokeo Kidato cha Nne 2018: Shule Kumi Za Mwisho Kitaifa Thursday, January 24, 2019 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018, na kutaja shule 10 za mwisho katika mtihani huo ...
Necta yataja shule 10 zilizofaulu zaidi Pamoja na mwanafunzi bora Thursday, January 24, 2019 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018, na kutaja shule 10 zilizofanya vizuri katika mtiha...
Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2018 Yatangazwa, Bonyeza Hapa Kutazama. Thursday, January 24, 2019 Bofya Hapa Kutazama MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwa...
LIVE: Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Saturday, January 12, 2019 LEO ni kilele cha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, maadhimisho hayo yanafanyika katika uwanja wa Gombani Pemba. Mgeni rasmi katika h...
Serikali Kuajiri Watendaji Kwenye Kata 1000 Monday, September 10, 2018 Serikali ina mpango wa kuajiri watendaji kata 1,000 ili kupunguza pengo kubwa la ukosefu wa watendaji hao katika maeneo mengi nchini. Kau...
Mwanafunzi amfanya Rais Magufuli achangishe fedha Baada ya Kumtajia Matatizo ya Shule yao Friday, September 07, 2018 Akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa ambapo kwasasa yupo Mkoani Mara Rais Magufuli, leo ameendesha hara...
Tundu Lissu Leo Atimiza Mwaka Mmoja Tangu Ashambuliwe Kwa Risasi Friday, September 07, 2018 Mnamo tarehe 7 Septemba 2017, aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mhe. Tu...
Gonjwa Jipya Laibuka, Serikali Yatoa Ufafanuzi Friday, September 07, 2018 Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema, mpaka sasa haijafahamika kinachosababisha ugonj...
Rais Magufuli Kateua Mkurugenzi Mpya wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Thursday, September 06, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Ta...
KILIMANJARO: TAKUKURU Kuwafikisha Mahakamani Viongozi Waliotafuna Bilioni 2 Tuesday, April 17, 2018 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iko katika hatua za mwisho kukamilisha upelelezi wa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya ...
Serikali Kuzifutia Usajili NGOs Zitakazofanya Kazi Kinyume Na Sheria. Thursday, April 12, 2018 Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) imesema haitas...
Arusha: Wanafunzi watumbukia shimoni na Kufariki Dunia Thursday, April 12, 2018 Wanafunzi wawili wakazi wa Olkeryan jijini Arusha wamefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo lililokuwa likitumika kwa ajili ya uj...
Mvua yauwa Watu Jijini Mwanza Tuesday, April 10, 2018 Wakati mvua zikiwa zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi na kusababisha mafuriko, Jijini Mwanza watoto wawili wa famil...
Rais Magufuli atajwa kuwania tuzo Afrika Tuesday, April 10, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ameteuliwa kuwania Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika, zijulikanazo kwa jina l...
Serikali yawapa siku 23 wamiliki wa Ardhi Saturday, April 07, 2018 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itawafikisha Mahakamani na kuwafutia hati ya umiliki wana...
Wilbroad Slaa Awasilisha Hati Zake Za Utambulisho Kwa Mfalme Wa Sweden Saturday, April 07, 2018 Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Wilbroad Slaa jana akiwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden. B...
Mwanamume atolewa mswaki tumboni Friday, April 06, 2018 Madaktari katika Hospitali Kuu ya Mkoa ya Pwani (CPGH) mjini Mombasa, Kenya wamefanikiwa kuutoa mswaki ambao ulikuwa umekwama tumboni mwa...
Aliyegundua Madini ya Tanzanite Amshukuru Rais Magufuli kwa Kumtambua na Kumpa Milioni 100 Friday, April 06, 2018 Mgunduzi wa madini ya Tanzanite, Jumanne Ngoma ametoa ya moyoni baada ya Rais John Magufuli kusema Serikali inautambua mchango wake ...