RONALDO ANAZIDI KUPAA KWA MABAO, AMEFIKISHA MABAO 401.


Cristiano Ronaldo amefikisha mabao 401 wakati alipoifungia Real Madrid mabao mawili wakati ikiitwanga Sevilla kwa mabao 4-1 katika mechi ya La Liga.

Nacho na Kroos ndiyo waliofunga mabao mengine mawili lakini Ronaldo pamoja na kusaidia ushindi huo, ameendelea kupaa kwa ufungaji katika klabu hiyo.

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.