Wabunge wa Tanzania na Kenya wavamiwa na majambazi Afrika Kusini.
Mmoja ya wabunge hao kutokea Kenya alipigwa vibaya na majambazi hao alipokua akijaribu kuzozana nao wasiwaibie .
Wabunge wengi wanasema wakati umefika sasa bunge hilo la Afrika kuhamishwa kutoka Afrika Kusini kwa sababu hakuna usalama wa kutosha nchini humo.
Leave a Comment