VIDEO :RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KAMANDA SIRRO KUWA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI.
LIVE IKULU: Hii leo Rais Magufuli amemuapisha Kamanda Simon Sirro aliyekuwa kamanda mkuu wa kanda maalumu ya Dar Es Salaam kuwa Mkuu wa Polisi Nchini.
Simon Sirro aliyeteuliwa jana kuchukua nafasi ya Ernest Mangu na kuapishwa hii leo.
BOFYA VIDEO UTAZAME MUBASHARA KUTOKA IKULU.
Leave a Comment