NGELEJA ARUDISHA TSH MILION 40.4 ZA ESCROW.


Mbunge wa jimbo la Sengerema, William Ngeleja amerudisha shilingi Milioni 40.4 za Escrow alizokuwa ameingiziwa na James Ruge Malira katika akaunti yake kwa ajili ya kusaidia jimbo.

Ngeleja amesema ingawa alipewa fedha hizo kama sehemu ya msaada , ameamua kurudisha fedha hizo ili kukwepa kashfa hiyo ya ESCROW.



No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.