Amber Lulu Adai Alikataa Zaidi Tsh. Milioni 200 ili Kupiga Picha za Utupu

Amba Lulu nAfukunguka Pona Yake kwa Waziri Shonza


Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amedai aliwahi kutaa dili la zaidi ya Tsh. Milioni 200 ambazo zilitolewa ili aweza kupiga picha za utupu.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘True Love’ ameimbia XXL ya Clouds Fm sababu ya kukataa fedha hizo ni kwamba alikuwa ameshaacha kupiga aina hizo ya picha.

“Ndio nitachukua hiyo hela nitakuwa na kila kitu mwisho wa siku kuna kitu kitamisi, ni hela nyingi sometime unaweza ukatamani lakini naamini nikiwekeza nguvu naweza nikapata hizo hela zaidi ya wanazoniambia,” amesema.

“Sikuwachukulia hivyo kwa sababu nilikuwa tayari katika situation ya kuondoka katika hiyo hali, ilikuwa dola laki moja (Zaidi Tsh. Milioni 200),” amesisitiza

Amber Lulu adai alikataa zaidi Tsh. Milioni 200 ili kupiga picha za utupu

Hivi karibuni serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilimuita msanii wa Bongo Fleva Gigy Money na Mwanamitindo Sanchoka kwa mahojiano maalumu kuhusu kazi zao ambazo zinaonekana zipo kinyume na maadili hususani kwenye mavazi wanayovaa

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.