MADARAKA NYERERE: PICHA YA NYERERE NAOMBA DIAMOND AIONDOE KWENYE WIMBO WAKE.


Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu Julius Nyerere katika 'cover' la wimbo wake mpya, mzee madaraka ambaya ni mtoto wa mwalimu Nyerere ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe katika wimbo huo.

Madaraka Nyerere alitoa kauli hiyo katika ukurasa wake wa twiter

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.