HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOCHEZA NA LESOTHO KUWANIA FAINALI ZA AFCON

Taifa Stars itaendelea kuongozwa na nahodha wake Mbwana Samatta ambaye anakipiga nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk.
Makipa;
Aishi Manula (Azam), Benno Kakolanya (Yanga) na Said Mohammed (Mtibwa Sugar).
Mabeki;
Shomari Kapombe (Azam), Hassan Kessy (Yanga), Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ (Simba), Mwinyi Haji, Salim Mbonde (Mtibwa Sugar), Abdi Banda (Simba) na Erasto Nyoni (Azam ).
Viungo;
Himid Mao (Azam), Jonas Mkude (Simba), Said Ndemla (Simba), Muzamiru Yassin (Simba), Simon Msuva (Yanga), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (Tennerife, Hispania) na Abubakar Salum ( Azam)
Washambuliaji;
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden), Ibrahim Ajibu (Simba), Mbarak Yussuf (Kagera Sugar) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting),
Leave a Comment