VIDEO : FUATILIA IBADA YA KUWAAGA WANAFUNZI WALIFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA.


Leo  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.

BOFYA VIDEO KUTAZAMA

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.