KOMBE LA MABARA: URENO, CAMEROON KUCHEZA NA WAPINZANI WAO.
![]() |
| Wachezaji wa Ureno luis Nani kushoto, Pepe katikati na Cristiano Ronaldo kulia wakifanya mazoezi kujinada na mchezo dhidi ya Urusi. |
Mwamuzi Gianluca Rocchi kutoka Italia ndie atakae chezesha mchezo huo wa wenyeji na Ureno na mchezo huo utacheza saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika mashariki.
Na mchezo wa pili wawakilishi wa bara la Afrika katika michuano hiyo timu ya Cameroon watashuka katika dimba la Fisht Olympic kupepetana na New Zealand , mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Bakary Gassama kutoka Gambia.
![]() |
| timu ya Cameroon watashuka katika dimba la Fisht Olympic kupepetana na New Zealand |


Leave a Comment