SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU BOMA HAI MUNGUSHI.
Wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai mji wa Bomang'ombe na maeneo ya jirani mnakaribishwa katika senima ya neno la Mungu inayofanyika pale Mungushi karibu na Dispensary.
Semina inaanza leo jumatano saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni na itaendelea hadi siku ya jumapili tarehe 30/07/2017.
Waleteni wenye shida wataombewa na kupona kupitia jina la Yesu.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0763 789 878.
Leave a Comment