MANCHESTER UNITED YACHOMOZA NA USHINDI MZITO MBELE YA SWANSEA.


Klabu ya Manchester United imechomoza na ushindi mnono wa magoli 4-0 dhidi ya Swansea mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza .


Magoli ya United yakifungwa na E Bailly dakika ya 45 wakati magoli mengine matatu yakitiwa wavuni na Romelu Lukaku dakika ya 80, Paul Pogba dakika ya 82 huku, Anthony Martial akihitimisha karamu ya magoli dakika ya 84 ya mchezo huo.


Vijana hao wa Jose Mourinho wameonekana kuwafiti zaidi katika kipindi cha pili cha mchezo huo.

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.