AMBWENE MWASONGWE AWEKA WAZI KUHUSU KUFUNGA NDOA
Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo zainjili hapa nyumbani Tanzania, Ambwene Mwasongwe amewekawazi kuwa anataraji kufunga ndoa.
Ambwene amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema anataraji kufunga ndoa na mchumba wake tarehe 14 aprili mwaka huu.
"watu wa Mungu, leo nimeguswa nikushirikishe jambo la baraka, maana nimeona si vyema nikakaa nalo peke yangu. Natamani marafiki NA watumishi wa Mungu tushiriki pamoja baraka hii, kwa maombi, mchango, ama mawazo mema yeyote ya kufanikisha jambo hili jema. Kwa yeyote atakayeguswa namkaribisha kama picha ya post hii inavyoekeza, ndoa ni ibada na ibada na ibada inahitaji watu na watu ni Mimi na wewe. Nakuhitaji kama mtu wa Mungu kushiriki nami harusi yangu ambayo sasa ni rasmi itafanyika mwezi wa nne hapa jijini Dar es salaam ukumbi wa mlimani city. Karibu sana" Aliandika Abwene.
ine-height: 17px; margin-bottom: 0; margin-top: 8px; overflow: hidden; padding: 8px 0 7px; text-align: center; text-overflow: ellipsis; white-space: nowrap;"> A post shared by ambwene mwasongwe (@ambwenemwasongwe_official) on
Mwimbaji huyu ametangaza ndoa hiyo kufuatia kuhitimu shahada ya uhasibu mwishoni mwa mwaka 2017.
Ambwene Mwasongwe na mchumba wake. |
Leave a Comment