Video Mpya Kutoka Kwa Guardian Angel – “Swadakta”.
Baada Ya Kufanya Vizuri Na Wimbo Wake Wa Nadeka Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Audiphaxad Peter Anayejulikana Zaidi Kwa Jina La Guardian Angel Sasa Ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Unayoitwa Swadakta.
Amepokea Tuzo Mbalimbali Ikiwemo Groove Award Aliyoipokea Mwaka Jana 2017 Ya Msanii Bora Wa Mwaka.
Amevuma Kwa Nyimbo Nyingi Ikiwemo Amazing Grace, Usikonde, Liwe Liwe, Pendo Na Nadeka.

Amepokea Tuzo Mbalimbali Ikiwemo Groove Award Aliyoipokea Mwaka Jana 2017 Ya Msanii Bora Wa Mwaka.
Amevuma Kwa Nyimbo Nyingi Ikiwemo Amazing Grace, Usikonde, Liwe Liwe, Pendo Na Nadeka.
Leave a Comment