RASMI ANNA MGWIRA AAPISHWA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemuapisha mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro leo Juni 6, 2017 saa 3:30 asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Anna Mghwira anaapishwa leo baada ya kuteuliwa wiki iliyopita kuchukua nafasi ya Said Meck Sadick aliyeomba kujiuzulu.


TAZAMA VIDEO KUAPISHWA KWA ANNA MGWIRA

Msemaji wa serikali Gersom Msigwa amethibisha kuapishwa kwa mkuu mkoa wa Kilimanjaro.

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.