Sababu 5 Zinazosababisha Uume Kuwa Mdogo (Kibamia)

Mapenzi

Wanaume walio na tatizo la  kuwa na uume mdogo wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho.

Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo.

Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.

NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.


1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu.
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.

2. Kuugua chango la uzazi.

3. Magonjwa ya utotoni.

4. Kutahiriwa mapema.

5. Kurithi kutoka kwa wazazi.
Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.