ANGEL BERNAD ACHAGULIWA KUWANIA TUZO YA MUIMBAJI BORA WA KIKE AFRIKA, BOFYA HAPA KUMPIGIA KURA
Muimbaji wa nyimbo za injili hapa Tanzania mwanadada Angel Benard amechaguliwa katika tuzo za Ami Awards Afrika kupitia wimbo wa 'Siteketei' katika kipengele cha muimbaji bora wakike (best gospel female artist).
Kumpigia kura nenda katika link hii http://www.amiawardsafrika.com/ kisha nenda katika kipengele cha best gospel female kisha chagua Angel kisha weka email yako na u submit.
Kupitia ukusa wake wa Instgram Angel ameelezea kufurahishwa na kushiriki tuzo hizo huku akisisitiza na kuomba kumpigia kura kupitia link hiyo hapo juu.
Sanjari na hayo siku ya jana Angel alitangaza kutoa wimbo mpya hivi punde akiwataka wadu wa nyimbo za injili kukutaa tayari kwa kupokea kazi hiyo.
Leave a Comment