HII NDIO SIRI YA MAFANIKIO YAKO - MWL MWAMBUNGU


Kitabu cha siri ya mafanikio kilichoandikwa na mwalimu mwambungu
ZINGATIA HAYA.
1)AMUA UNACHOTAKA:Watu wengi sana hawajui kitu wanachokitafuta.Wako bize na maisha ila hawajui wanaenda wapi.

2)ANDIKA:Usiseme nina malengo wakati haujaandika popote.Kuna tofauti kubwa kati ya Matamanio na Malengo.Kuna kitu kikubwa kinatokea unapoandika malengo yako.

3)TENGENEZA MPANGO:Kila unachokitafuta kwenye maisha kuna njia mbalimbali za kukipata.Amua wewe unataka kukipata kwa njia gani.Mpango utahusisha rasilimali unazohitaji(Muda,Fedha,watu n.k).Usiseme tu unachotaka kufanikiwa,andika pia utafaniwaje(How).

4)KILA SIKU FANYA KITU:Mafanikio yako yamefichwa kwenye kufanyia kazi ulichoamua kwenye namba 1.Kila siku fanya kitu hata kama ni kidogo sana,hakikisha siku haipiti haufanyi kitu kuhusiana na lengo lako.

Je,tangu mwaka umeanza kitu gani umezingatia kati ya haya?.


JIFUNZE MENGI KUHUSU MAFANIKIO YAKO NA UJASIRIAMALI KWA KUPATA NAKALA YA SIRI YA MAFANIKIO. wasiliana na 0674513851 kupata nakala yako.

TAZAMA VIDEO KUJUA JINSI MUIMBAJI ANAVYOWEZA KUJITANGAZA NA KUJULIKANA ZAIDI - MWALIMU MWAMBUNGU

No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.