Paul Clement Aachia Video Yake Ya Kwanza Mwaka Huu – “Jina La Yesu”.
| Paul Clement |
"The wait is finally over video tuliyokua tunaisubiri kwa hamu sasa unaweza kuitazama." Ameandika katika Ukusa wake wa Instgram.
Ndani Ya Wimbo Huo Ilisikika Sauti Ya Mwanadada Frida Felix Ambae Pia Amemshirikisha Katika Video Hii.
Paul Clement amekuwa na mafanikio makubwa hasa katika albamu ya 'AMANI' imeipa umaarufu mkubwa, video hiyo inakuwa ni video ya kwanza na wimbo wa kwanza kuachia mwaka huu 2018.
Tazama video hiyo hapa chini.
Leave a Comment