Jackson Benty Amwandikia Ujumbe Huu John Lisu
| Jackson Bent. |
Benty Kupitia Account Yake Ya Facebook amemua Kumwandikia Ujumbe Huu Muimbaji Wa Gospel Mashuhuri John Lisu Ujumbe huo ni Huu Hapa,
“Ndugu yangu,kazi yako ni njema sana.Tayari umeshakuwa alama kubwa ya utoaji dhabihu za sifa ndani na nje ya nchi.Songa mbele na ufanikiwe zaidi na zaidi mtu mwema uliyebarikiwa na Bwana.”
| John Lissu. |
Leave a Comment