Dongo Janja Amtaka Irene Uwoya Achore Tatoo ya Jina Lake Sehemu Za Siri

Siku za hivi karibuni Uwoya na Dogo Janja wameonekana kuweka mambo yao hadharani kidogo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu tangu ndoa yao ifungwe.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dogo Janja ameanika tattoo hiyo iliyochorwa na Uwoya kwenye maeneno ya bega iliyoandikwa Jina halisi la Dogo Janja ambalo ni Abdul.
Dogo Janja amemshukuru mke wake kwa kuchora tattoo ile na kumtaka amchoree tattoo nyingine lakini safari hii iwe kwenye maeneo nyeti kabisa.
Leave a Comment