TAZAMA PICHA ZA SEND OFF NA HARUSI YA WALTER CHILAMBO


Mwimbaji Wa Injili Walter Chilambo Nae Pia Ameamua Kufanya Kweli Baada Ya Kufunga Ndoa Na Mchumba Wake Loveness Hiza Siku Ya Juzi jumapili April 15.

Baada Ya Kula Kiapo Kanisani Sherehe Zilifanyika Katika Ukumbi Wa Mkapa Jijini Mbeya.

Unaweza Kutazama Picha Za Send-Off Pamoja Na Harusi Hapa.


No comments

TUFATILIE TWITTER

Powered by Blogger.